![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Mwananchi | Mwananchi
4 天之前 · Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Katika maadhimisho hayo ambayo Rais Samia Suluhu Hassan ni mgeni rasmi, Mwabukusi amesema kupongeza kwa ...
Barabara mpya kuzingatia njia ya waenda kwa miguu
2 天之前 · Dodoma. Serikali ya Tanzania imesema barabara zote mpya zinazojengwa kwa kiwango cha lami zinahusisha ujenzi wa njia za waenda kwa miguu katika maeneo ya majiji, miji na maeneo mengine. Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya ameyasema hayo leo Jumatano Februari 5, 2025 wakati akijibu swali la ...
Tanzania yataja fursa zitakazopatikana Afcon 2027 | Mwananchi
2 天之前 · Dodoma. Mbunge wa Mlalo(CCM), Rashid Shangazi ameitaka Serikali kueleza fursa zitakazopatikana kwa Watanzania mmoja mmoja na vikundi kupitia fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (Afcon) 2027 zitakazofanyika Kenya, Uganda na Tanzania. Akijibu swali hilo,bungeni leo Naibu Waziri wa Habari ...
Mbeya, Songwe kufaidika mkongo wa Taifa, mradi kuanza Aprili
2025年1月13日 · Naibu Waziri wa Mawasiliano, Teknolojia na Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi, alizungumza na Mwananchi Digital leo Jumatatu, Januari 13, 2025, baada ya kufanya ziara ya kukagua utekelezaji wa mradi huo, amesema: "Wilaya ya Chunya katika Mkoa wa Mbeya ni moja ya Wilaya 139 nchini ambazo zitapitiwa na kituo cha mkongo wa Taifa.
Mwisho wa M23 hauonekani DRC-5 | Mwananchi
3 天之前 · Baada ya hali ya usalama kuzorota zaidi mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC), huku DRC na Rwanda zikishutumiana kuhusu msaada kwa waasi wa M23, wakuu wa mataifa ya Afrika Mashariki walikutana jijini Nairobi, Kenya, Juni 20, 2022, na kukubaliana kupeleka jeshi la kikanda DRC ili kujaribu kumaliza vita mashariki mwa nchi hiyo.
Habari | Mwananchi
Your premium access has ended, but the best of Nation.Africa is still within reach. Renew now to unlock exclusive stories and in-depth features. Reclaim your full access. Click below to renew. Miaka ya hivi karibuni bibi na babu wamekuwa wakikwepa kuishi na wajukuu, huku baadhi ya sababu zikitajwa ...
Kinachoendelea sasa viongozi, marais wakiwasili | Mwananchi
2025年1月28日 · Dar es Salaam. Marais wa nchi 19 na wakuu wa Serikali kadhaa tayari wamewasili nchini, kwa ajili ya mkutano wa nishati barani Afrika unaohitimisha leo jijini hapa. Nchi ambazo marais wake tayari wamewasili Dar es Salaam kwa ajili ya mkutano huo ni Madagascar, Lesotho, Visiwa vya Comoro, Guinea ...
Sababu ACT kuiburuza Tamisemi mahakamani | Mwananchi
2025年1月6日 · Dar es Salaam. Malalamiko dhidi ya uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji uliofanyika Novemba 27, 2024 hatimaye yamefikia hatua ya mahakamani, baada ya Chama cha ACT Wazalendo kufungua mashauri 51 kupinga matokeo na mwenendo wake. Hatua hiyo ya ACT Wazalendo inakoleza moto wa malalamiko ...
Sababu kuwepo matumaini ya nafuu bei ya mafuta 2025
2025年1月9日 · Miongoni mwa bidhaa muhimu ambazo Tanzania huziagiza nje ya nchi ni bidhaa za mafuta, ambazo gharama zake kwa mwaka ni wastani wa Dola za Marekani 2.57 bilioni (Sh6.1 trilioni). Kutokana na umuhimu wake katika uchumi, kushuka na kupanda kwa bei za bidhaa hiyo huwa na athari ya moja kwa moja katika ...
Mradi wa LNG Lindi wanukia, mazungumzo karibu kukamilika
2025年1月12日 · Dar es Salaam. Mazungumzo ya utekelezaji wa mradi wa kusindika gesi asili kwenda kwenye kimiminika (LNG) mkoani Lindi huenda yakafika tamati mapema mwaka huu, huku kila upande ukiwa na matumaini ya kupata 'dili' lililo bora. Mradi huo wenye thamani ya Dola bilioni 42 za Marekani (Sh106.1 trilioni ...