![](/rp/kFAqShRrnkQMbH6NYLBYoJ3lq9s.png)
Homepage - HabariLeo
Za Karibuni Elementor #70058 Dk Biteko ashiriki uapisho wa Rais Duma Boko “Mshindi atangazwe, Tamisemi msipendelee” PMAYA 2024:…
Mgodi wa Ndolela mwanga mpya kwa wananchi - HabariLeo
2 天之前 · Amesema, ujenzi wa Zahanati hiyo ni kutimiza takwa la kisheria na kanuni za wajibu wa wamiliki wa leseni za madini kwa jamii. Kwa upande wa Meneja Msaidizi wa Mgodi wa Mawe wa Ndolela (Ndolela Quarry) Hilter Ranjiti amesema tangu kuanzishwa kwa mgodi huo mwaka 2022 umekuwa na manufaa kwa wananchi kwa kutoa ajira pia kutekeleza takwa la kisheria kwa kuchangia miradi ya maendeleo.
Tanzania Archives - HabariLeo
Gavana BoT afurahishwa ushirikiano ZEEA mikopo bila riba. Na NA MWANDISHI WETU, Dar es Salaam. Febuari 4, 2025
Biteko akemea ubabe Tanesco, ataka hatua - HabariLeo
1 天前 · NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko amekerwa na baadhi ya watoa huduma katika kituo cha huduma kwa wateja cha Shirika la Umeme nchini (TANESCO) kwa kuwa wanasababisha malalamiko kwa wananchi. Dk Biteko amesema hayo wakati wa kikao cha tatu cha tathmini ya uendaji kazi wa taasisi ...
Tanzania yatabiriwa makubwa Azimio la Dar - HabariLeo
2025年1月30日 · TANZANIA inatarajiwa kufanya makubwa kwenye sekta ya ajira na uwekezaji kutokana na Azimio la Dar es Salaam katika mkutano wa nishati wa Misheni 300 uliomalizika Dar es Salaam Januari 28. Wachambuzi wa masuala ya uchumi na wadau wa nishati wamesema mkutano huo na azimio hilo ni fursa kwa Tanzania ...
Rais wa Burundi awasili Tanzania - HabariLeo
2025年1月28日 · Rais wa Jamhuri ya Burundi, Évariste Ndayishimiye, amewasili jijini Dar es Salaam kushiriki Mkutano wa Wakuu wa Nchi za Afrika kuhusu Nishati unaoendelea katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC). Rais Ndayishimiye alipokelewa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius ...
Majaliwa: Tanzania imejipanga maandalizi CHAN, AFCON
6 天之前 · WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imejipanga vyema kukamilisha maandalizi yote muhimu ikiwemo miundombinu kwa ajili ya Fainali…
Biteko aagiza kituo huduma kwa wateja TANESCO kufumuliwa
2025年1月9日 · NAIBU Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk Doto Biteko ameagiza kufumuliwa kwa Kituo cha Huduma kwa Wateja cha Shirika la Umeme Nchini (TANESCO) kufuatia kituo hicho kushindwa kuwahudumia wananchi kwa viwango vinavyotarajiwa. Kwa mujibu wa Wizara ya Nishati Dk Biteko ametoa agizo hilo leo Januari 9 ...
Matamanio, matarajio Dira 2050 hadharani - HabariLeo
WANANCHI na wadau mbalimbali nchini wamebainisha matamanio na matarajio yao ya maendeleo kuelekea mwaka 2050 yakiwa ni pamoja na uchumi bora unaostawi, kuboresha maisha yao na huduma bora za kijamii hususan elimu na afya.
Wananchi Kiteto waishukuru serikali ujenzi barabara - HabariLeo
2025年1月7日 · “Kwa sasa tuna ‘enjoy’, tulipata shida sana kwa kukosekana kwa hili daraja hususani sisi bodaboda, tulipata changamoto kubwa kusafirisha akina mama kwenda kliniki mpaka tunaamua kupita ng’ambo lakini kwa sasa tunamshukuru Mungu kwa kupata daraja zuri kama hili na sasa tunapita juu, kwa kweli daraja hili limeturahisishia sana tunaishukuru Serikali na viongozi wetu wametukamilishia ...