Wadau wa michezo nchini, ndugu, jamaa, marafiki, wanasiasa na wakazi wa Jiji la Mwanza wameuaga mwili wa Mkurugenzi wa Kituo cha Michezo na Shule za Alliance, James Bwire na kesho ...
STAA wa zamani wa Arsenal, Emmanuel Petit amefichua kwamba kocha Mikel Arteta ameweka nguvu kubwa kwenye kunasa huduma za mastaa wawili tofauti kabisa mbele ya straika Ollie Watkins wa Aston Villa.