Rais wa DRC, Felix Tshisekedi, amethibitisha kuwa atahudhuria kikao cha wakuu wan chi toka Jumuiya ya Afrika Mashariki na ile ya SADC, watakaokutana Jumamosi hii nchini Tanzania, kujadili mzozo unaoen ...
Rais wa Rwanda, Paul Kagame. Wakati Serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ikiapa kuurejesha Mji wa Goma, jiji lenye takriban watu milioni 3, kutoka mikononi mwa waasi wa M23, imeendelea k ...