Umbali kutoka Bukavu mpaka Goma, kwa barabara ni kilometa 193.9. Ni miji mwili, mmoja upo ncha ya Kusini ya Ziwa Kivu na mwingine ncha ya Kaskazini. Bukavu ni Kusini na Goma Kaskazini. Miji ...
Usiku wa kuamkia Februari 4, 2024, muungano wa waasi wa Alliance Fleuve Congo (AFC) na M23, ambao umetwaa mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), umetangaza kusitisha masham ...