Rais wa DRC , Felix Tshisekedi, hatahudhuria mkutano usio wa kawaida wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) ulioitishwa na Rais William Ruto wa Kenya kuhusu mgogoro wa mashariki mwa Congo.
Ufaransa inatoa wito kwa vikosi vya Rwanda "kuondoka kwa haraka" Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi lenye silaha la M23 ambalo wanaliunga mkono "kujiondoa mara moja kutoka katika maeneo ...