Picha: Neema Hussein Mapokezi ya Rais Samia Suluhu Hassan ambapo Wananchi katika kata ya Kibaoni Halmashauri ya Mpimbwe mkoani Katavi wakimsubili huku ombi lao kubwa likiwa ni barabara ya lami kutoka ...
Moshi. Mkazi wa Kijiji cha Kibaoni, wilayani Rombo Mkoa wa Kilimanjaro, Theodora Nisetas anayekadiriwa kuwa na miaka 65, anadaiwa kujiua kwa kunywa sumu huku chanzo kikiwa bado hakijajulikana.