Mratibu Taifa wa THRDC, Wakili Onesmo Olengurumwa, amesema leo Februari 10,2025 wanaoathirika zaidi ni wanufaika wa miradi hiyo inayogusa maisha ya Watanzania wengi.
Dk. Mapana alitoa wito huo, Februari 7, 2025, jijini Dar es Salaam, wakati akizindua Kamati Kuu ya Uendeshaji wa Tuzo za Muziki wa Injili Tanzania (Tanzania Gospel Music Awards – TMGA), akibainisha ...