Wananchi hao wanaojishughulisha na kilimo cha ndizi, viazi pamoja na matunda kama pasheni, parachichi na maembe wameiomba Serikali kutekeleza ahadi yake ya ujenzi wa barabara hiyo na kuiwezesha ...
Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kupata mkopo nafuu wa Sh354.45 bilioni kutoka Serikali ya Japan kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa uendelezaji kilimo vijijini. Mkopo huo utawanufaisha wakulima ...