MBUNGE wa Viti Maalum, Sofia Mwakagenda, ameitaka serikali kuweka mikakati kuhakikisha mazao yanayoharibika haraka kama vile parachichi, yananunuliwa kwa wakati shambani, ili kuepushia wakulima hasara ...
Utafiti huo ulionyesha kuwa kifungua kinywa chenye madini hayo ambayo hupatikana kwenye ndizi, parachichi na mboga za majani kunalinda figo kutokana na madini hayo kusaidia kudhibiti shinikizo la damu ...
Dar es Salaam. Tanzania inatarajiwa kupata mkopo nafuu wa Sh354.45 bilioni kutoka Serikali ya Japan kwa ajili ya utekelezaji wa mradi wa uendelezaji kilimo vijijini. Mkopo huo utawanufaisha wakulima ...