lakini mara ya kwanza kilianza kuonekana kikiimbwa na mchungaji kutoka Uganda, Aloysius Bujingo wa kanisa la 'House of Prayer Ministries' lililopo Makerere kuuimba wimbo huo mbele ya waumini wake.