Imitingito y'ibipimo bitandukanye yakomeje kumvikana mu duce twa Goma muri DR Congo na Gisenyi mu Rwanda isenyera benshi ituma no mu mujyi wa Gisenyi hari abaturage bahunga. Ibi ni ibikomeje ...
Kuva mu gitondo cyo kuri uyu wa kane nta muntu uri kwemererwa kwambuka imipaka ihuza Gisenyi na Goma hagati y'u Rwanda na Kongo nk'uko umunyamakuru uriyo abyemeza. Yaba umupaka wa 'Petite barriere ...
M23 na jeshi la Rwanda wanadhibiti uwanja wa ndege na sasa wanamiliki karibu mji mzima na vitongoji vya Goma, mji mkuu wa ...
Goma ni mji mkuu wa Mkoa wa Kivu Kaskazini nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), unaotajwa kuwa mji wa pili kwa ...
Ufaransa inatoa wito kwa vikosi vya Rwanda "kuondoka kwa haraka" Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na kundi lenye silaha la M23 ambalo wanaliunga mkono "kujiondoa mara moja kutoka katika maeneo ...
GOMA : MAPIGANO katika mji wa Goma, mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, yamesababisha vifo vya watu 17 na ...
Mapigano katika mji uliozingirwa wa Goma mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo yamesababisha vifo vya takriban watu ...
Milipuko ya mizinga imeitikisa Goma Jumatatu, saa chache baada ya wanajeshi wa Rwanda na wapiganaji kundi la waasi la M23 ...
SERIKALI ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) imethibitisha leo kuwa jeshi la Rwanda linahusika katika mapigano ...